BIBLIA INATOA MWANGA NA MWONGOZO WA KIROHO KATIKA MAENEO MBALI MBALI YA MAISHA YETU


 Kiapo mahakamani hata Wabunge hutumia biblia katika kuapa.Ikiwa umeshauri wa nje ya neno la Mungu basi bila shaka utakuwa umepotoshwa.

biblia ni kitabu kinachofaa sana kwa ushauri.kitabu hiki kina mafundisho mengi sana yanayoonyesha,maisha,mafundisho na hekima ya Mungu.kitabu cha mithali kina mafundisho mengi ya hekima,busara,maadili na uongozi maishani.kitabu hiki pia kina maelekezo ya jinsi ya kuishi maisha ya furaha,amani na mafanikio.

Biblia pia ina kitabu cha zaburi ambacho ni mkusanyiko wa nyimbo za kusifu na kuabudu.Nyimbo hizi zinatoa faraja,nguvu na matumaini kwa watu wakati wa shida na mateso ;pia katika kitabu.cha zaburi tunaweza kupata mifano ya maombi na sala ambazo zinaweza kutusaidia katika ushauri na kumwomba Mungu.

Katika agano jipya tunapata mafundisho na mifano ya Yesu kristo..Ambaye ni mfano bora wa upendo,uhuru,msamaha na haki.mafundisho yake yanaweza kutufundisha katika kutoa ushauri nzuri na wa busara kwa wengine.pia kuna barua za mitume na mafundisho mazuri juu ja kujenda mahusiano mazuri.kuishi kwa haki na kumsifu Mungu katika maisha yetu

Biblia inatoa mwanga na mwongozo wa kiroho.katika maeneo mbalimbali ya maisha yetu,ikiwemo  pamoja na masuala ya familia,ndoa,kazi,urafiki,fedha na maamuzi muhimu  inatufundisha jinsi ya kuishi maisha ya maana yanayosikiliza na kumtii Mungu.Hivyo biblia ni chanzo kizuri cha USHAURI.

nimekuandikia haya ili imani yako isipukue katika bwana-Pastor James.

+225692076903.







Comments

  1. Utakubaliana na na mimi kuwa biblia ni mwongozo hai wa maisha yetu.

    ReplyDelete
  2. Ningependa kumpendekeza mmoja wa wazimu wanaoheshimika zaidi wa wakati wetu. Ni mtu ambaye amewasaidia watu wengi jijini wakati wa hali ngumu.

    Baadhi ya watu hata humwita "mungu mdogo" kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiroho na jinsi anavyowasaidia wale wanaomjia kwa ajili ya mwongozo.

    Unaweza kumtumia ujumbe kwenye WhatsApp: +2349046229159
    Barua pepe wightmagicmaster@gmail.com

    Tafadhali zungumza naye kwa heshima na ueleze hali yako wazi, naye atajitahidi kukusaidia.

    Anatoa mwongozo wa kiroho na usaidizi kwa hali tofauti, ikiwa ni pamoja na:

    • Masuala ya mapenzi na uhusiano, ikiwa ni pamoja na kusaidia kuungana tena na mpenzi wa zamani.

    • Kurejesha ndoa na mahusiano yenye matatizo.

    • Maombi na mila za kiroho kwa ajili ya ulinzi na mafanikio.

    • Tiba za mitishamba za kuponya VVU, saratani, malengelenge.

    • Maombi ya uzazi na usaidizi wa kiroho kwa wanandoa wanaotaka kupata mimba katika wiki chache.

    • Uwezo wa Telekinesis. Uwezo wa kubadilisha umbo.

    • Tambiko na maombi ya utajiri wa papo hapo.

    • Msaada wa kiroho katika hali ngumu kama vile kesi za mahakamani, kurejesha mali iliyopotea, na changamoto zingine za maisha.

    Watu wengi wamepokea msaada na mwongozo kupitia kazi yake ya kiroho.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKABIRIANA NA UMASKINI

FAIDA ZA USHAURI WA KIROHO

FAHAMU UHIMU WA MAOMBI YA USIKU