USHAURI WA KIROHO KWA MTU AMBAYE ANAPITIA HALI NGUMU KIUCHIMI NA VIPINDI VINGUMU MAISHANI.
Ninatambua jinsi gani hali ngumu ya kiuchumi inaweza kuwa changamo tokubwa na kusababisha hisia za kukata tamaa.ni muhimu kukumbuka kuwa kila mtu hupitia vipindi vingumu maishani mwake, na hali hiyo haijalishi wewe ni nani au ni kitu gani unafanya.
biblia imejaa mifano mingi ya watu ambao walipita vipindi vigumu na changmoto,lakini baadae waliweza kufanikiwa.Hapa kuna baadhi ya mistari ya biblia,inayoweza kukutia moyo na kukusaidia katika wakati huu mgumu.
1.Zaburi 34;17-18;walilia naye Bwana akawasikia akawaponya na taabu zao zote,bwana yu karibu nao waliovunjika moyo na waliopondeka roho huwaokoa. Katika kipindi hiki kigumu cha uchumi,Mungu atakuokoa kutoka kwenye kila hali inayokulemea Mungu atakuletea mafanikio.
2.Wafilipi 4;13;Nayeweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu;Aya hii inatuimiza kuwa na imani katika Mungu na kutambua kuwa kupitia nguvu yake tunashinda changamoto zote.
3.Warumi 8;28;Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampenddao,katika kuwapatia mema yaani walioitwa kwa kusuddi lake;hali hii inatuhakikishia kuwa Mungu anatumia changamoto zetu kwaajili ya kusudi letu jema na katika mwisho tutafanikiwa.
4.Zaburi37;25;Nalikuwa kijana nami sasa ni mzee,lakini sijamuona mwenye haki ameachwa wala wazao wake wakiomba chakula barabarani;Hii inatuimiza kumtegemea Mungu na kusubiri kwa hamu wakati wetu wa mafanikio utakapofika.
Ni muhimu pia kukumbuka kuwa mafanikio utofautiana kwa kila mtu na sio lazima yawe mafaniko ya kipesa pekee,Tumia kipindi hiki cha ugumu kama fursa ya kujifunza,Kubadili mtazamo na kuboresha ujuzi wako.Tafuta njia mbadala za kujiongezea kipato na fursa za kubadili uchumi wako.
Pia usisite kuomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa masuala ya fedha na wafanyakazi wenzako au marafiki.Kuzungumza na watu wenye uzoefu na kupata ushauri kutoka kwa washauri wa fedha.kunaweza kukusaidia kuelewa hali yako na kuboresha uchumi wako.KUMBUKA HAKUNA CHANCHAMOTO ISIKUWA NA MWISHO. WASILIANA NAMI +225692076903
.
WAKATI UNAPOPITIA CHANGAMOTO WATU WATA KUJA KUKUTIA MOYO LAKINI HAWATAWEZA KUTATUA CHANGAMOTO ULIYONAYO BALI YESU ANAWEZA YOTE.
ReplyDelete